Kutoka TikTok Hadi Mji Mzima: Pipytida, Fundi wa Ngoma wa Bongo Tayari Kuuchapa Kimataifa!

By Zhomba Entertainment DAR ES SALAAM – Kuna upepo mpya unavuma kwenye scene ya burudani Afrika, na mwenyeji wake ni mrembo mmoja wa Kitanzania ambaye amebadilisha uwezo wake wa kucheza na kujiamini kwake kuwa kitu cha kuokota mahela kidijitali. Pipytida, star anayetisha kwenye mitandao na sensation wa ngoma, amekuwa gumzo la bara zima, akipiga shabiki […]